Atomu au radical yenye chaji ya umeme ambayo ni chanya (cation) au hasi (anion) kutokana na kupotea au kupata elektroni. @FAO